Kimbunga chavuruga mechi ya Merseyside Derby kati ya Everton na Liverpool

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mechi iliyokua ichezeke mapema leo, Merseyside Derby kati ya Everton na Liverpool maarufu Majogoo wa London, imehairishwa.
IMG_1324.jpeg

Sababu ya kuhairishwa ni uwepo Kimbunga kikubwa na dalili ya mvua isiyo na kikomo hapo baadae leo hii

Soma, Pia: Uhasama wa Everton na Liverpool ulianzia hapa

Mamlaka ya hali ya hewa UK imetoa taarifa hiyo dakika chache zilizopita

Mechi hiyo itapangiwa tarehe nyingine ya kuchezeka kwake.
 
Kwenye mkeka wawekezaji tutalipwa kama kawa hicho kimbunga hidaya hakituhusu
 
Mechi iliyokua ichezeke mapema leo, Merseyside Derby kati ya Everton na Liverpool maarufu Majogoo wa London, imehairishwa.
View attachment 3171275
Sababu ya kuhairishwa ni uwepo Kimbunga kikubwa na dalili ya mvua isiyo na kikomo hapo baadae leo hii

Soma, Pia: Uhasama wa Everton na Liverpool ulianzia hapa

Mamlaka ya hali ya hewa UK imetoa taarifa hiyo dakika chache zilizopita

Mechi hiyo itapangiwa tarehe nyingine ya kuchezeka kwake.
View attachment 3171278
Siyo London,bali ni Liverpool.
 
Back
Top Bottom