Kimbunga chavuruga Mkutano wa Kampeni wa Maccm Kigoma baada ya Lugola kumtisha Zitto

Kimbunga chavuruga Mkutano wa Kampeni wa Maccm Kigoma baada ya Lugola kumtisha Zitto

Tang Zhou

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2018
Posts
1,206
Reaction score
2,588
Eti baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani kutoa amri nikamatwe, Wazee wa Kigoma wametest mitambo kwenye mkutano wa CCM huko Buyungu ( utani huu bana, kimbunga ni jambo la sayansi sio utamaduni )


Huyu Kangi kuna kitu anakitaka, hakumbuki Zitto kila wakati Polisi wakitaka kumkamata au kumpyupyu hukutana na mti mkubwa wa Mrumba au maji mengi ya Lake Tanganyika...kama haelewi amwulize Mbunge wa Mchinga enzi zile, Mudhihiri Mudhihiri baada ya kuingia anga za wazee wa Kigoma!
 
Last edited:
Huko hakufai, kuna mikoa kuishi huko ni shida, kila nyuma kumi, tatu za wachawi. Kimbunga jambo la Kisayansi na radi je.
 
Back
Top Bottom