Kimbunga chavuruga Mkutano wa Kampeni wa Maccm Kigoma baada ya Lugola kumtisha Zitto

Eti baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani kutoa amri nikamatwe, Wazee wa Kigoma wametest mitambo kwenye mkutano wa CCM huko Buyungu ( utani huu bana, kimbunga ni jambo la sayansi sio utamaduni )

Huyu Kangi kuna kitu anakitaka, hakumbuki Zitto kila wakati Polisi wakitaka kumkamata au kumpyupyu hukutana na mti mkubwa wa Mrumba au maji mengi ya Lake Tanganyika...kama haelewi amwulize Mbunge wa Mchinga enzi zile, Mudhihiri Mudhihiri baada ya kuingia anga za wazee wa Kigoma!
hiyo mitambo hatari...
 
Thanks mods kuuboresha uzi huu
 
siku c nyingi north korea wanakuja kuchukua wataalam
 
Eti baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani kutoa amri nikamatwe, Wazee wa Kigoma wametest mitambo kwenye mkutano wa CCM huko Buyungu ( utani huu bana, kimbunga ni jambo la sayansi sio utamaduni )

Huyu Kangi kuna kitu anakitaka, hakumbuki Zitto kila wakati Polisi wakitaka kumkamata au kumpyupyu hukutana na mti mkubwa wa Mrumba au maji mengi ya Lake Tanganyika...kama haelewi amwulize Mbunge wa Mchinga enzi zile, Mudhihiri Mudhihiri baada ya kuingia anga za wazee wa Kigoma!
Acheni uongo usio na maana huo ni mkutano wa injili mjini njombe...
Watu kama ninyi ndio mnaishushia hadhi jf.. Ng'ombe pori wewe
 
Wewe ndo mpumbavu kabisa, ng'ombe kasoro mkia wee...kwani hili ni Jukwaa gani?
 
nakumbuka kuna ailiambiwa ataona bwawa...na kweli kwani alifika hata aliishia njiani na hapo ikawa mwisho wake wa safari
 
Watu wa mwisho wa reli si wakisport sport kabisa!
 
UWONGO katika ubora wake walahi!
Ngoja ashikwe ndio ata test mitambo vizuri walahi!
Awamu ya Tano iko beyond that walahi!
 
Back
Top Bottom