Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukichangie nauli aseee...natamani kifikeHicho kimbunga hakiwezi kufika magogoni wazee?
hiyo mitambo hatari...Eti baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani kutoa amri nikamatwe, Wazee wa Kigoma wametest mitambo kwenye mkutano wa CCM huko Buyungu ( utani huu bana, kimbunga ni jambo la sayansi sio utamaduni )
Huyu Kangi kuna kitu anakitaka, hakumbuki Zitto kila wakati Polisi wakitaka kumkamata au kumpyupyu hukutana na mti mkubwa wa Mrumba au maji mengi ya Lake Tanganyika...kama haelewi amwulize Mbunge wa Mchinga enzi zile, Mudhihiri Mudhihiri baada ya kuingia anga za wazee wa Kigoma!
Eti baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani kutoa amri nikamatwe, Wazee wa Kigoma wametest mitambo kwenye mkutano wa CCM huko Buyungu ( utani huu bana, kimbunga ni jambo la sayansi sio utamaduni )
Huyu Kangi kuna kitu anakitaka, hakumbuki Zitto kila wakati Polisi wakitaka kumkamata au kumpyupyu hukutana na mti mkubwa wa Mrumba au maji mengi ya Lake Tanganyika...kama haelewi amwulize Mbunge wa Mchinga enzi zile, Mudhihiri Mudhihiri baada ya kuingia anga za wazee wa Kigoma!
Acheni uongo usio na maana huo ni mkutano wa injili mjini njombe...Eti baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani kutoa amri nikamatwe, Wazee wa Kigoma wametest mitambo kwenye mkutano wa CCM huko Buyungu ( utani huu bana, kimbunga ni jambo la sayansi sio utamaduni )
Huyu Kangi kuna kitu anakitaka, hakumbuki Zitto kila wakati Polisi wakitaka kumkamata au kumpyupyu hukutana na mti mkubwa wa Mrumba au maji mengi ya Lake Tanganyika...kama haelewi amwulize Mbunge wa Mchinga enzi zile, Mudhihiri Mudhihiri baada ya kuingia anga za wazee wa Kigoma!
Kule huwezi mkuu,kumezindikwa balaa kama benki tu aiseee.Hicho kimbunga hakiwezi kufika magogoni wazee?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hicho kimbunga wakitume magogoni kikainyanyue ile nyumba nyeupe kiitupe baharini, kihakikishe mwenyeji yumo ndani.