Kimbunga chavuruga Mkutano wa Kampeni wa Maccm Kigoma baada ya Lugola kumtisha Zitto

"..kwa jina la Yesu..kwaa jina la Yesu..kwa jina la Yesu.." kumbe hata maccm yanamjua Yesu!!
 
Kuna mkutano wa CCM usio na bendera wala kitambaa cha kijani mezani? Huo mkutano wa Dini ! Uzushi hausaidii chochote, subirini matokeo
 
Hahahaha kimbunga kinachekesha sana hicho, but it seems like ilikua ni mkutano wa Injili sasa wakakutana na kikwazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…