Kimbunga JOBO: Uzi maalum kupeana Updates za kimbunga hiki

Kimbunga JOBO: Uzi maalum kupeana Updates za kimbunga hiki

Hiki kimbunga kimeshaongea na Corona kuhusu Tanzania ?kuwa hatutishwi na sisi Ni jiwe kweri kweri


Hapa kwangu nimeotesha miti mingi Sana nadhani itasaidia kupunguza upepo
 
Tumeambiwa kimbunga hiki hakijatokea eneo la ukanda wa Afica mashariki kwa takribani miaka 70.

Hapa ni sehemu maalum kuhabarishana yanayojiri hasa mliopo fukwe huko.

Tukumbushane pia tahadhari za kuchukua maana siku yenyewe ni leo na kesho tu kwa mujibu wa mamlaka za hali ya hewa.
Mtwara mpo salama tujuzeni hali ikoje?
 
Naona huko Mtwara
Screenshot_20210424-125835.jpg
 
Back
Top Bottom