Kimbunga kikali chaipiga Mecca

Kimbunga kikali chaipiga Mecca

Duniani sehemu nyingi ni majanga kwa kubadilika kwa hali ya hewa
Na sasa Canada kuna moto mkubwa zaidi ya sehemu 1000
Greece nako moto umeuwa wakimbizi wa Africa sasa sijui wananchi wao ndio wamewatupia kwenye moto maana sio kwa kulalamika huko
Mungu atuepushe na majanga haya
 
Lile jini linalolinda hapo lilikuwa wapi au nalo limefukunyuliwa
Jini si kitu mkuu mbele za nguvu za Mungu.Halafuu, Mungu inawezekana katumia Jini hilo hilo kutimiza malengo yake.Kila kiumbe kipo kwa ajili ya kutimiza malengo na makusudi ya Mungu,hata kama ni kiovu.
 
Back
Top Bottom