Duniani sehemu nyingi ni majanga kwa kubadilika kwa hali ya hewa
Na sasa Canada kuna moto mkubwa zaidi ya sehemu 1000
Greece nako moto umeuwa wakimbizi wa Africa sasa sijui wananchi wao ndio wamewatupia kwenye moto maana sio kwa kulalamika huko
Mungu atuepushe na majanga haya