Kime-happen kwa jirani na sijutii kabisa

Sijui dogo mwangaa πŸ˜‚, watu wanakukubali me nafatilia sioni kwanini.

DJ piga Ngoma ya Chidi Benz.. wanakubali kiaina, kubali kiainaa wanadiss ila wanakubali kiaina 🎡 Daresalaam Stand-up.
It is because I don't fake it
 
Hongera.
Kwa hiyo umepiga kavu kavu mkuu?
 
Hongera
 
Na mke wa mtu au sio ? πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Kama umeanza huo mchezo Acha kabisa haipendezi kumfanyia mwanaume mwenzio .
Hiyo issue ilitokea asubuhi ya saa 12..
Wanasema vitu vizuri Kula na mwenzio..

Ila tu cut the bs.. Ni yeye ndo aliyataka, na amechora mchezo wote bila aibu. Binafsi sina cha kujilaumu
 
Kijana umekosa cha kuchezea hadi ucheze wake za watu?

Kuna ule uzi wa ushuhuda alichofanywa yule jamaa mla wake za watu, yaliyomo mule omba sana yasikukute
Sasa nihofie nini? Kama ni makosa ni yake yeye sio mimi
 
yes ndio hivyo walivyo watamu,vipi chumvini ulienda? buza kwa mpalange ulienda?
 
Mzee kichwa wazi aliuliza swali ikabidi umjibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…