Pre GE2025 Kimei aendelea kuweka rekodi Vunjo, afanikisha kuanza kwa ujenzi wa daraja kata ya Makuyuni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kimei ni failure kabisa. Kama ameshindwa kushawishi ile barabara ya kwenda Kilema hospital iwekwe lami namshauri asijisumbue 2025 ataliwa hela zake bure maana lazima apigwe chini.
 
Kimei ni failure kabisa. Kama ameshindwa kushawishi ile barabara ya kwenda Kilema hospital iwekwe lami namshauri asijisumbue 2025 ataliwa hela zake bure maana lazima apigwe chini.
Ya Himo sokoni tu imemshinda kila siku ni ngonjera tu pasipo utekelezaji
 
Tangu Vunjo ipate jimbo hatuja wahi kuwa na mbunge hovyo kama Kimei.
Wewe ulie weka huu uzi hapa ni chawa na hulijjui jimbo la Vunjo
Na Jimbo la vunjo tangu mfumo wa vyama vingi uanze hakuna mbunge alisha ongoza kwa vipindi viwili mfululizo. Vunjo ni jimbo la watu wanao jitambua sana ni ngumu kuwa honga.
 
Hapo anataka kuwahi wapi
 
Mbona tulikiwa tunadangaywa kwmaba Kilimanjaro Kila kitu kipo.kukbe ni fix za wachaga 🤣🤣🤣
 
Mbona tulikiwa tunadangaywa kwmaba Kilimanjaro Kila kitu kipo.kukbe ni fix za wachaga 🤣🤣🤣
Sasa kama Kilimanjaro ipo hivyo jiulize hiyo mikoa mingine ina hali gani and by the way serikali ndio imekuwa ikifanya makusudi kutopeleka huduma kule hasa kipindi cha Magufuli. Ila sekta binafsi ilisaidia sana kwenye Afya miaka mingi.
 
Ina Hali nzuri kushinda hiyo Banana Region
 
Ina Hali nzuri kushinda hiyo Banana Region
Mkoa wa Dodoma wenye nyumba za tembe mnalala na wanyama nyumba moja ndio mna hali nzuri. Mikoa mingine umeme umefika kwenye kata na vijiji viwili kati ya 4 huko sisi tulikuwa zamani sana sasa hivi zimebaki vitongoji vichache sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…