Kimei aja na vunjo cup yenye zawadi nono

SautiYaMnyonge

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2018
Posts
439
Reaction score
742
Mbunge wa Jimbo la Vunjo kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei ametekeleza ahadi yake ya kuwa na ligi ya vijana wa jimbo hilo kila mwaka kwa kuanzisha Vunjo Cup.

Mashindano hayo yameboreshwa kwani amealika wataalam wa soka toka baadhi ya vilabu vinavyocheza ligi kuu kuja kubaini utajiri mkubwa wa vipaji uliopo kwenye miguu ya vijana wa jimbo hilo.

Kwa kweli Kimei amedhihirisha ni mtu wa kusema na kutenda.

 
Mwambie mbunge aache ubahiri

Kuna mashindano hapa kisarawe mwasonga kigambon yanadhaminiwa na diwan wetu zahoro angalia zawad zake

Mshhind wa kwanza mil 3

Mshind wa pili. Mil 2

Mshind wa tatu mil 1

Mshind wa 4-5 wanapewa lak 5

Sasa kimei former CEO wa crdb na Sasa mbunge anatoa hela ya juisi kola

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mwambie kimei aachane na haya mambo ya ajabu, kwenye Jimbo lake kijiji cha kiruweni toka mwaka 2000 tunataka umeme na haujafika. Haya ndo mambo ya kushughulikia
 
Mwambie kimei aachane na haya mambo ya ajabu, kwenye Jimbo lake kijiji cha kiruweni toka mwaka 2000 tunataka umeme na haujafika. Haya ndo mambo ya kushughulikia
Kaskazini kumeshaendelea,Sasa Ni zamu ya mikoa mingine-boss wa Chato enzi zake.
 
Sijui nani alimwambia Kimei vijana wa kichaga wanataka kuletewa mashindano ya mpira?
Huku ndio kufirisika kiakili kwa Kimei.

Yaani mtu asiyejua kupiga hata danadana mbili anataka kuwaamsha wachaga wacheze mpira?
Yaani Kimei aliyekuwa Mkurugenzi mkuu wa CRDB badala ya kuja na mipango ya kuwainua vijana kibiashara, leo yupo busy na vitu vidogo vidogo hivyo vya kucheza mpira!

Vijana wakichaga hapo Vunjo wanataka mitaji, masoko na ajira za uhakika.
 
Hujui kupiga danadana hata 2? Mpira sio danadana
 
Wachaga ndo watacheza au watakodi wachezaji kutoka mikoa mingine?
 
Wachagga wenyewe hawajui kucheza mpira hapo timu zitajaa mamluki
 
Uwiiii comment ya hovyo hii kuisikia hapa jf.
Mkuu michezo ni sehemu ya maisha
Basi kama veep serikali ifutr wizara ya michezo kwa kuwa bado nchi yetu ulimwengu wa 3
 
Wachaga na mpira wa miguu tangu lini? Aanzishe mashindano ya kunjwa mbege hasa msimu huu wa.sikukuu kama ataona ni lazima sana kutumia mpira basi aanziahe VOLLEYBALL CUP ambao ndio mpira wa asili ya wachaga kutokana na tatizo la ardhi
 
Nipo marangu mtoni hapa baada ya kusikia tangazo hili nimebeba mpira wangu napiga piga danadana labda wataniona wanaisajili

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Amna kitu mkuu endeleeni na biashara zenu za kusaka noti kwa bidii,mpira awahusu kabisa,hata shepu zenu sio za mpira au labda kama uo mpira utachezwa TBL uwenda mkatokea kwa wingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…