SautiYaMnyonge
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 439
- 742
Mbunge wa Jimbo la Vunjo kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei ametekeleza ahadi yake ya kuwa na ligi ya vijana wa jimbo hilo kila mwaka kwa kuanzisha Vunjo Cup.
Mashindano hayo yameboreshwa kwani amealika wataalam wa soka toka baadhi ya vilabu vinavyocheza ligi kuu kuja kubaini utajiri mkubwa wa vipaji uliopo kwenye miguu ya vijana wa jimbo hilo.
Kwa kweli Kimei amedhihirisha ni mtu wa kusema na kutenda.