Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Nime furahi sana Ccm wame tenda haki. Vunjo hatukuwa na mbunge. Yaani mwana kijiji ana leta maendeleo Kimei ana zuia ati kaingiliwa jimboni kwake? Shenzi kabisaKada wa CCM , Msomi wa masuala ya Uchumi na Usimamizi wa Miradi, Mfanyabiashara na mdau wa maendeleo ya jamii, Comrade Enock Koola ameteuliwa na chama chake cha CCM kugombea jimbo la Vunjo uchaguzi mkuu 2025
View attachment 3450440
Jiwe na CCM walimrubuni mwamba aache CRDB agombee ubunge atapewa wizara ya fedha na uchumi. Kilichomkuta hatasau.Kada wa CCM , Msomi wa masuala ya Uchumi na Usimamizi wa Miradi, Mfanyabiashara na mdau wa maendeleo ya jamii, Comrade Enock Koola ameteuliwa na chama chake cha CCM kugombea jimbo la Vunjo uchaguzi mkuu 2025
View attachment 3450440
Maarifa ni mazuri lakini, mi naona tukubali katupwa nje, ila sioni sababu ya kumdogosha Dr. Charles Kimei. Ni top guy na mshindi, ila huwezi kushinda kila pahala.Kusoma kooote huko na sifa zooote hizoo anataka kuwarithisha wanavunjo maarifa yake.
Kumbe we hujui, BoT waliweka sheria ya ma CEO wa benk wasizidi miaka 10, halafu in addition, alishakuwa CEO kwa. Zaidi ya miaka 15, ki organization ingelibidi astaafu aachie mawazo mbadala.Jiwe na CCM walimrubuni mwamba aache CRDB agombee ubunge atapewa wizara ya fedha na uchumi. Kilichomkuta hatasau.
Kuna tishio la kumkwamisha kwenye kampeni au hata akilala ndani atashinda?Sisi wanavunjo tunakupa hongera sana kwa kuteuliwa kuwania ubunge kupitia ccm.Tunakuahidi kukupambania katika kipindi chote cha kampeni hadi siku ya mwisho ya uchaguzi,tunaamini utashinda kwa kishindo.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mzee Kimei hakuwa na namna kwa huyu ndugu Enock kwa sababu, Ndugu Enock mizizi yake imejichimbia chini sana sana...!Comrade Enock Koola....
Koola anastahili alishinda mwanzo 2020 hakuteuliwa ingekuwa sio haki kutoteuliwa kwa mara ya pili.Kada wa CCM , Msomi wa masuala ya Uchumi na Usimamizi wa Miradi, Mfanyabiashara na mdau wa maendeleo ya jamii, Comrade Enock Koola ameteuliwa na chama chake cha CCM kugombea jimbo la Vunjo uchaguzi mkuu 2025
View attachment 3450440
Yajayo yapi tena hayo?
Uchambuzi muruwa kabisa.Kimei ni mzigo kabisa.
Hakuweza kuwasaidia chochote watu wa Vunjo kiuchumi kama alivyohaidi au kutegemewa na hakuweza kulisaidia taifa kiuchumi.
Kuwakumbusha tu watu, kimei alitoa ahadi kubwa tatu za kiuchumi ķwa watu wa Vunjo ambazo zote hakuweza hata kujaribu kuanza kuzitekeleza.
1. Kuwezesha kujengwa kwa masoko makubwa matatu ya mazao ya kibiashara (Soko la Himo/Njia panda, Marangu/Mwika, Kirua/Vunjo). Kumbuka jimbo la vunjo ndio mlango mkuu wa kuuza mazao kwenda Kenya (kupitia mpaka wa Holili) na kuleta Dar.
2. Kufungua na kukuza mifumo imara ya kifedha (kibenki) kila kata na kijiji kwa ajili ya kuweka na kukopa(Saccos). Watu walitegemea kuibuka na kuimarishwa kwa Saccos. Hili halikuhitaji hata senti tano bali utashi na utaalamu wake wa kiuchumi na uzoefu aliotoka nao huko CRDB. Mwamba hapa alipata 0%.
3. Kulifungua kibiashara eneo la njia panda kuwa kitovu kikuu cha kiuchumi kwa mkoa wa Kilimanjaro. Hilo ndio eneo potential zaidi kiuchumi kwa Kilimanjaro kuliko maeneo ya Boma Ng'ombe na Moshi mjini, lakini ndio limedorora zaidi kuliko hapo awali huku mengine yakichanua. Kwa sasa hata stendi ya njia panda imekufa kabisaa.