Kimeishia wapi kizazi cha mashushushu wa mbingu

King JiluX

Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
62
Reaction score
42
Tukisoma maandiko matakatifu tunaona hapo zamani kulikuwepo uwezekano wa kujua taarifa nyeti za mbinguni kama ile ya shetani kupokonywa mamlaka na kufukuzwa na kuwa imeteuliwa cabinet nyingine ya malaika kama akina Mikael, Raphael, Gabriel na malaika wengine.. Hao MASHUSHUSHU wameishia wapi kutupa update pengine baraza limebadilishwa tena!?
 
Mbona wamejaa sana tu. Wapo akina nabii Majestic a.k.a Nabii Frank wa Tanga kama wenyewe wanavyomwita, wapo kibao tu kila siku wanajitangaza kupitia Channel ten na channel zingine. Ngoja tutawauliza watujuze kinachoendelea huko anga za juu sana.
 
Kizazi hicho kiliishia siku ile binadamu walipo muua mungu na kumtundika msarabani.

Kizazi hicho kikawa hakina kazi tena maana mkuu wao (mungu) hayupo tena duniani siku hizi alifia msarabani
Lakini si wanadai alifufuka after 3 days?
 
Lakini si wanadai alifufuka after 3 days?
Hiyo ilikuwa ni plan tu yakutaka kuonesha kwa watu kuwa mungu alirudi kwenye uhai wake.

But the truth is god was killed ndio maana siku binadamu wanateseka na matatizo kibao bila msaada wowote kwani mungu alishauawa msarabani.

Jeshi la ibilis liliwahi na kumuua mungu ili kumfanya ibilis aitawale dunia kama ilivyo Leo hii mkuu
 
Mungu akuhurumie
 
Daaah umewaza mbali sana we jamaaa yn.....dooooohh haki ya nani
 
Mmmhh........unasomaga hata biblia mtaalam?
 
Kwa mujibu wa biblia hicho kizazi cha mashushushu ni wewe na wenzako

Na ndio maana Yesu alikuiteni kizazi cha Nyoka [emoji3]

Mpaka mle mwili wake na kunywa damu yake ndio mpate Uzima [emoji16][emoji16]

Nyie ndio mashetani mlio kubuhu mliowekwa zizini kama kondoo [emoji39] mpaka mnyooke
 
Kizazi hicho kiliishia siku ile binadamu walipo muua mungu na kumtundika msarabani.

Kizazi hicho kikawa hakina kazi tena maana mkuu wao (mungu) hayupo tena duniani siku hizi alifia msarabani
Mungu akusamehe maana unayemfuata alisema hajui aendako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…