King JiluX
Member
- Jan 30, 2018
- 62
- 42
Tukisoma maandiko matakatifu tunaona hapo zamani kulikuwepo uwezekano wa kujua taarifa nyeti za mbinguni kama ile ya shetani kupokonywa mamlaka na kufukuzwa na kuwa imeteuliwa cabinet nyingine ya malaika kama akina Mikael, Raphael, Gabriel na malaika wengine.. Hao MASHUSHUSHU wameishia wapi kutupa update pengine baraza limebadilishwa tena!?