Ticktock dork
JF-Expert Member
- Dec 23, 2015
- 466
- 308
mi naona nisicomment
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alifufuka mkuuKizazi hicho kiliishia siku ile binadamu walipo muua mungu na kumtundika msarabani.
Kizazi hicho kikawa hakina kazi tena maana mkuu wao (mungu) hayupo tena duniani siku hizi alifia msarabani
Hao ni wachumia tumbo, ndio maana kila mtu ana mafundisho yake, lkn wanadai wametumwa na Mungu mmojaMbona wamejaa sana tu. Wapo akina nabii Majestic a.k.a Nabii Frank wa Tanga kama wenyewe wanavyomwita, wapo kibao tu kila siku wanajitangaza kupitia Channel ten na channel zingine. Ngoja tutawauliza watujuze kinachoendelea huko anga za juu sana.
Soma biblia usiwe mvivuTukisoma maandiko matakatifu tunaona hapo zamani kulikuwepo uwezekano wa kujua taarifa nyeti za mbinguni kama ile ya shetani kupokonywa mamlaka na kufukuzwa na kuwa imeteuliwa cabinet nyingine ya malaika kama akina Mikael, Raphael, Gabriel na malaika wengine.. Hao MASHUSHUSHU wameishia wapi kutupa update pengine baraza limebadilishwa tena!?
Halafu ni kweli Mungu aliuawa na nepi walimvika.Kwani mtu akisema kile ambacho wewe hupendi kukisikia mtu huyo anakuwa hana akili?
Hiyo ni kufuru, iko siku utakuja ijutia. Mungu hazaliwi wala hafi kwakuwa hizo ni sifa za kiumbe.Kizazi hicho kiliishia siku ile binadamu walipo muua mungu na kumtundika msarabani.
Kizazi hicho kikawa hakina kazi tena maana mkuu wao (mungu) hayupo tena duniani siku hizi alifia msarabani
AiseeHiyo ilikuwa ni plan tu yakutaka kuonesha kwa watu kuwa mungu alirudi kwenye uhai wake.
But the truth is god was killed ndio maana siku binadamu wanateseka na matatizo kibao bila msaada wowote kwani mungu alishauawa msarabani.
Jeshi la ibilis liliwahi na kumuua mungu ili kumfanya ibilis aitawale dunia kama ilivyo Leo hii mkuu
kwa hiyo hapa unakubali uwepo was Mungu kwa kipindi kilichopita na si sasa!Hizo ni hadithi zimekuja na kuondoka mungu hayupo
Kwanini nasema mungu hayupo na hakuwahi kuwepo?
Jibu mungu hawezi kujitetea mpaka watu wa kawaida wamtetee lakini zamani ilikuwa mungu anajitetea na anawaadhibu watu hapo kwa hapo mfano sodoma,gharika ya nuhu
Mbona siku hizi hajitokezi huyo mungu na malaika wake utakuja kuona hizo zote ni stori wala hazikutokea kweli
kwa hiyo hapa unakubali uwepo was Mungu kwa kipindi kilichopita na si sasa!
Yeye mwnyw alisema kwa maandiko,kuwa kuamini injili yaani maisha yake Mungu(yesu) kwa mtu anayejidai mwerevu ni ngumu sana,yaani ulivyoandika bila shaka ww ni msomi na sio msomi Wa madesa,bali umesoma vitabu na mitandao,yaani umepoteza muda wako kutafuta majibu aka knowledge na ni kweli inawzkn unayo.Hiyo ilikuwa ni plan tu yakutaka kuonesha kwa watu kuwa mungu alirudi kwenye uhai wake.
But the truth is god was killed ndio maana siku binadamu wanateseka na matatizo kibao bila msaada wowote kwani mungu alishauawa msarabani.
Jeshi la ibilis liliwahi na kumuua mungu ili kumfanya ibilis aitawale dunia kama ilivyo Leo hii mkuu
SanaaaaaaaWATU WACHOKOZI SANA