Kimenuka: Ali Karume kujibu Mapigo, anasubiri barua ya kuvuliwa Uanachama

Chadema mngejikita kwenye kujenga chama chenu kinachoporomoka ya CCM hamuyawezi
 
TAHADHARI.....
Wenye mamlaka huko kwenye chama,angalieni hili swala la Balozi Karume kwa jicho la tatu.
Wazee wetu kina Malecela,Cleopa,Rafiki yetu Yussuph Makamba,Jakaya,Abduu*Kinana* na prof kule Mbeya ingieni muokoe hili jahazi.
 
Karume yule atafyatuka kweli anajua mengi ....mpatanisheni ni Hussein Mwinyi wote watoto Rais na mmoja kawa Rais kila upande wana nguvu atiiiii
 
Kwahiyo watu sikuhizi hamtaki ata waTanzania wapate habari zinazotolewa na magazeti yetu? Kweli nchi tumefikia pabaya sana.
WANA CCM WA KWELI TUNA MIPAKA YETU,NA NJIA TUNAYOITUMIA ENDAPO MWANACHAMA MIONGONI ANA DUKUDUKU FULANI KUNA VIKAO VYA CHAMA VYA NDANI.(kwenye vikao hivi unaweza kutoa uharo wako wote tukausikiliza tukautolea maamuzi)
 
Mbona Mpina mnamgwaya ?
 
TAHADHARI.....
Wenye mamlaka huko kwenye chama,angalieni hili swala la Balozi Karume kwa jicho la tatu.
Wazee wetu kina Malecela,Cleopa,Rafiki yetu Yussuph Makamba,Jakaya,Abduu*Kinana* na prof kule Mbeya ingieni muokoe hili jahazi.
Kumuwekea nanaki *** kwenye Jina lake, unamaanisha nini!!!
 
Back
Top Bottom