mkudugwa
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 226
- 221
Hajafika 30 kazaliwa 1989 hayo majukumu mazito sana lazima atafute namna ya kuyakimbia kulea mibaba Ile mchezo [emoji3] [emoji3] [emoji3]halafu pia ni mdogo,sidhani km Diamond ana miaka 30?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajafika 30 kazaliwa 1989 hayo majukumu mazito sana lazima atafute namna ya kuyakimbia kulea mibaba Ile mchezo [emoji3] [emoji3] [emoji3]halafu pia ni mdogo,sidhani km Diamond ana miaka 30?
Ikiwa ni takribani siku zimepita baada ya Picha za mchumba wa diamond kuzagaa akiwa yupo na mwanaume mwingine huku akiwa nusu utupu.
Diamond ameelezwa kusikitishwa na picha hizo na kusema
"..ni bora kula na kuwaacha tu maana mambo wanayotufanyia sio..."
Zari TheLadyBoss ambaye na yeye amejitahidi kueleza sana lakini imeshindikana mpaka sasa, pamoja na kuweka picha za kuonesha ukweli wote lakini bado diamond fans wameshindwa kumuelewa
Daaa nimecheka sana kama kuna jambo Mange kazungumzia/kasema mtujuze tusibishe tena wala kuhoji
hahahahaha mbavu zangu.
Huyo mange alikukosea nini? Maana kila post lazima umtaje!hahahahahaha kwakweli Kumbe Mange ameshasema? basi mimi nilisema kabla ya Mange kusema...
hakika mimi ni nani mpaka nimbishie Mange?
Huhuuuuuuu kama ni kweli na sio kick kama kawaida ya Diamond nitafanya sherehe.
Ni muda sasa namfuatilia Diamond ktk page yake ya Insta naona kafuta posts mbalimbali zinazomhusu Zari (Kifo cha Ivan),ila sijajua kama angefikia hapa.
Tusubiri na tuone...
Naombeaje kuhusu Misa baby iwe kweli sasa jamani? Uwiiiiiiiii
Haki siwezi kusubiri kumuona Hamisa ndani ya madale.
HIVI HUYU ZARI SI ALISEMA KAACHIWA MAVYUO SOUTH ? SASA JUMATATU SIKU YA KAZI BADALA AKAFANYE HATA KAMANAGEMENT MEETING YUPO SPA?Maisho atarudi kwa mama ubaya
Bila ACACIA yote haya yasingetokea.
Zari alipost picha za spa jana na sio leo [emoji57]HIVI HUYU ZARI SI ALISEMA KAACHIWA MAVYUO SOUTH ? SASA JUMATATU SIKU YA KAZI BADALA AKAFANYE HATA KAMANAGEMENT MEETING YUPO SPA?
ile picha diamond ameitoa wapi kwanza?Zari alipost picha za spa jana na sio leo [emoji57]
Kwa katotoleo. Hlf mtu mwenye signature iyo ya katotoleo ni team hamisa.ile picha diamond ameitoa wapi kwanza?
labda mond kamtumia ili kumpoteza zari maboya maana mond nasikia yupo south.Kwa katotoleo. Hlf mtu mwenye signature iyo ya katotoleo ni team hamisa.
Kuna ujinga wanafanya tu hapo
Bado hajaona.Kwani Mange yeye anasemaje?
Duuuu raia ni wafukunyuku si mchezoMkuu...kabla ya kuongelea jambo uwe na uhakika kwanza.
Hiyo swimming pool ipo na Zari amewahi kwenda hapo mara kadhaa.
Marehemu mumewe pia.