KIMENUKA: Diamond akerwa na picha za kimahaba za Zari na njemba nyingine

Uzi umeletwa huku duh
 
Haya maisha ya insta shida sana sasa alishindwa kumpigia simu akamtolee povu mpaka aweke comments insta ??
 
Daaa nimecheka sana kama kuna jambo Mange kazungumzia/kasema mtujuze tusibishe tena wala kuhoji
hahahahaha mbavu zangu.
hahahahahaha kwakweli Kumbe Mange ameshasema? basi mimi nilisema kabla ya Mange kusema...
hakika mimi ni nani mpaka nimbishie Mange?
Huyo mange alikukosea nini? Maana kila post lazima umtaje!
Halafu ile kishabiki shabiki ! Mwanaume gani unashadadia masuala ya mwanamke?
 

Maisho atarudi kwa mama ubaya
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani jamaa kaingiza mkono wote umezama! Angalia vizuri picha, vidole vya jamaa havionekani kabisa halafu ndio utuambie ni cousin. Mhn, Diamond unachapiwa ndugu yangu
 
Katika siku diamond kanikera ni leo. Kiki za kishamba shamba upuuzi mtupu.

Ndio shida ya kudate na watu ambao hawakui kiakili hii
 
Mkuu...kabla ya kuongelea jambo uwe na uhakika kwanza.
Hiyo swimming pool ipo na Zari amewahi kwenda hapo mara kadhaa.
Marehemu mumewe pia.
Duuuu raia ni wafukunyuku si mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…