KIMENUKA: Diamond akerwa na picha za kimahaba za Zari na njemba nyingine

Mkuu kama kitu ukijui kaa kimya tu, hiyo swimming ipo hata wakina Ivan washawai pigia picha hapo.

Hizo picha zipo zaidi ya tatu sasa umeona hiyo moja then unatoa hitimisho eti 'picha feki' hata kama unampenda zari sana usiwe kipofu namna hiyo.

Diamond kama kafanya kiki kwa suala kama ilo atakua kaniboa sana, zari ni mama watoto wake hatakiwi kumuekea 'caption' za hivyo ni kumdhalilisha
 
Hii kiki kuna songi jipya linakaribia
Kuachiwa jamaa si yupo sauzi na mkewe
Vita ya makinikia haijawahi kuwaacha watoa new song salama kiki yote iko ikulu kwenye awamu ya pili ya makinikia
Haaa haaaa umenitisha
 
Dogo hawezi kuachia kazi bila KIKI [emoji23][emoji23][emoji23] ukiangalia post yake ya nyuma kaonyesha kabisa ana wimbo anataka kuachia kabla ya Unlock the future,unadhani angemegewa angemwagika kibwege ivi ila anajua wabongo kwenye mitandao ya kijamii ni vilaza inabidi tu apite na sisi tupate mihemko.
 
Mkuu...kabla ya kuongelea jambo uwe na uhakika kwanza.
Hiyo swimming pool ipo na Zari amewahi kwenda hapo mara kadhaa.
Marehemu mumewe pia.
 
Hili ndo povu la Diamondplatumz baada yakuona mchumba wake akiogelea na shemeji!
 
So far Zari keshajibu kuwa hiyo picha alipigwa na mke wa jamaa aliyeko naye ktk swimming pool.
Pia kaweka picha ya jamaa na mke wake ktk hilohilo swimming pool.
Hehehe leo rahaaaaaa.
 
Aende zake kwa Mobeto na uwe ukweli. Zari muonyeshe huyo kijana ambaye hana heshima kwa wanawake ingawa unasingiziwa haya.
 
mm zari nmesoma nae na nmekula mzigo nirshangaa chibu alivyomuoa huyo demu
 
Shamba la kukodisha sio lako, chukua chako uondoke zako
 
Hayo amefanya baada ya kutoka msibani au kabla ya kufiwa na mumewe "kipenzi"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…