KIMENUKA: Diamond akerwa na picha za kimahaba za Zari na njemba nyingine

Vipi mbona na wewe ushahitimisha kua nampenda Zari?
Sina muda na celebrities aisee, they add no value kwenye maisha yangu. Hayo ya sijui ivan sijui ndo nani unayajua wewe, ungekuja na hizo picha za hiyo swimming pool ningekuelewa.

Umeongea ka vile una uhakika alafu unamalizia kwa sentensi inayoonyesha speculation, kumbe huna uhakika then. Mkuu ya Diamond naomba nimuachie yeye, hizi story hazinisisimui kabisa, njoo tubishane kwenye jukwaa la technology au siasa.
 
Mkuu...kabla ya kuongelea jambo uwe na uhakika kwanza.
Hiyo swimming pool ipo na Zari amewahi kwenda hapo mara kadhaa.
Marehemu mumewe pia.

Ila Nifah Ukiunganisha hizi nukta hapa chini utagundua ni kiki & nothing serious..!!! Shuka nazo


Hiyo wapo bongo angalia na hii ya chini ni watu wanaojuana


S/o na tags pia japo post ya mda sana
 
Ni wako ukiwa nae chumbani...akitoka nje si wako
 
Kama ni kiki basi Dayamondi ni mpumbaavu huwezi tafuta kiki at your spouse's expense huu ni udhalilishaji na hiyo caption ndo kabisa. Ila hata kama sio kiki wangeweza kumalizana wenyewe sio Lazima kila kitu kiende online.
 
Hapana! Ukiangalia vizuri hiyo picha hiyo sio real kuna Photoshop imehusika hapo
 
Hiyo picha ni fake kabisa!! ALIYEITENGENEZA HAJUI CHEKI SHINGO LA HUYO MWANAUME.
 
Hiyo picha ni photoshop haiwezekani hayo maji yasimbae upande wenye mteremko wa misitu
 
Kumuacha dada wa Kiganda anayedai kuzaa watoto wawili sio rahisi kama wanavyoachwaga akina wema!
Ukweli huu kawaulizeni wanafamilia wa Don Iva!
 
Photoshop hyo mtu atawekaje kichwa hivyo, new song loading endeleni kujaza uzi
hiyo picha sio feki

Na Zari amejitetea kwa kudai kuwa hiyo picha amepigwa na mke wa huyo jamaa na kusindikiza picha ya huyo jamaa na huyo mwanamke anayesemekana kwamba ndiye mke wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…