Graph
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 2,735
- 6,165
Vipi mbona na wewe ushahitimisha kua nampenda Zari?Mkuu kama kitu ukijui kaa kimya tu, hiyo swimming ipo hata wakina Ivan washawai pigia picha hapo.
Hizo picha zipo zaidi ya tatu sasa umeona hiyo moja then unatoa hitimisho eti 'picha feki' hata kama unampenda zari sana usiwe kipofu namna hiyo.
Diamond kama kafanya kiki kwa suala kama ilo atakua kaniboa sana, zari ni mama watoto wake hatakiwi kumuekea 'caption' za hivyo ni kumdhalilisha
Sina muda na celebrities aisee, they add no value kwenye maisha yangu. Hayo ya sijui ivan sijui ndo nani unayajua wewe, ungekuja na hizo picha za hiyo swimming pool ningekuelewa.
Umeongea ka vile una uhakika alafu unamalizia kwa sentensi inayoonyesha speculation, kumbe huna uhakika then. Mkuu ya Diamond naomba nimuachie yeye, hizi story hazinisisimui kabisa, njoo tubishane kwenye jukwaa la technology au siasa.