Nimecheeeekaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe mkuu wewe.
Ha ha hahahaaaaa
Jamaa si unajua kuwa anaona familia kubwa anataka kubwaga kiujanjaKwa mara ya kwanza nimekubali Diamond kakurupuka kwenye hili...
Well my greetings to her[emoji7][emoji7][emoji7].Nipo daughter, I feel so so happy napoonaga comment yako.
Your namesake is doing great as well.
Hata ivo sijui sku iz tumekuaje mambo ya kifamilia yako unayaleta mtandaoni ili iweje kwan kwan hawawez kukaa nyumban wakayamaliza kuliko kuwapa watu faida.au kuna kitu mond anataka kukifanya anatafuta sababu by the way ndo wanaume wakisasa wanaotafuta huruma mitandaoni.mpaka mtu unaweza kujutia kua mwanaume kwa kizazi cha sasa cha wamaume wasiojiaminSo far Zari keshajibu kuwa hiyo picha alipigwa na mke wa jamaa aliyeko naye ktk swimming pool.
Pia kaweka picha ya jamaa na mke wake ktk hilohilo swimming pool.
Hehehe leo rahaaaaaa.
Kwani Mange yeye anasemaje?
Well my greetings to her[emoji7][emoji7][emoji7].
Bwa! Ha! Ha! Ha!
Dah...mazee umenichekesha sana.
Unajua sikuwa nategemea kuona mambo ya 'Mange keshasema' huku [sijui hata kwa nini].
Nimecheka hadi nimepaliwa na hii waffle nnayoila hapa.
Ila kama Mange keshasema ndo basi tena...huo ndo ukweli wenyewe.
ππππππ
Sasa hiyo picha ina shida gani?
Mbona wengi hupiga za hivi? na mbona hata Diamond hupiga za hivi?
Kumbe mama Tifah hata ya kiswahili anayafahamu [emoji23][emoji23][emoji23]
Utajisikiaje na ww raia wakikuombea uachane na the Bold?,wanawake pendaneni bhana...Huhuuuuuuu kama ni kweli na sio kick kama kawaida ya Diamond nitafanya sherehe.
Ni muda sasa namfuatilia Diamond ktk page yake ya Insta naona kafuta posts mbalimbali zinazomhusu Zari (Kifo cha Ivan),ila sijajua kama angefikia hapa.
Tusubiri na tuone...
Naombeaje kuhusu Misa baby iwe kweli sasa jamani? Uwiiiiiiiii
Haki siwezi kusubiri kumuona Hamisa ndani ya madale.