KIMENUKA: Diamond akerwa na picha za kimahaba za Zari na njemba nyingine

KIMENUKA: Diamond akerwa na picha za kimahaba za Zari na njemba nyingine

Ahaaaaa wap marehemu ivan wish ungekuwepo? Mlitoa pove eti zari alimwacha ivan kisa mzembe kitandani ana kitambii sasaa mmeona?

Rip ivan
 
Huhuuuuuuu kama ni kweli na sio kick kama kawaida ya Diamond nitafanya sherehe.

Ni muda sasa namfuatilia Diamond ktk page yake ya Insta naona kafuta posts mbalimbali zinazomhusu Zari (Kifo cha Ivan),ila sijajua kama angefikia hapa.
Tusubiri na tuone...

Naombeaje kuhusu Misa baby iwe kweli sasa jamani? Uwiiiiiiiii
Haki siwezi kusubiri kumuona Hamisa ndani ya madale.
Lakini Hamisa ana mtoto kwa x wake
 
asharithi mabulungutu ya mumewe diamond wa nini tena sasa?we mwenyewe fikiria kabla ya kuanza kumsema ze bosi led
 
Zari ni mwanamke smart kichwani na mwilini na Naseeb pia akili ya maisha ni mwanaume sometimes! Doubt yangu umeolewa mume anaishi Tanzania unaishi South! Why usiishi Tanzania uende mara moja moja kuchek miradi na kuchukua watoto wakifunga shule?
Wakifunga ndoa wataishi pamoja, sahz wanazini tu
 
6540a802960fa2e9b8cb9be050af7235.jpg


Hii ndio hali iliyopo instagram,!!


dimond anasema ndio maaana ana hit and run!!


kwamba akina dada hawathaminiki!

Inaonekana zari amecheat na uyo mjamaaa aliye bambia msambwanda wake kwenye swiming pool!


Updates::

Zari kakataaaa kasema picha ilipigwa na mke wa jamaaa!!!!
diamond mkurupuko

4b3732829beb08b2982337d73bcc0ad5.jpg

Hivi leo hii kusalitiwa na Mpenzi wako ni jambo la Kushangaza au kutaka Watu waanze kulijadili? Wanaume ni Wahuni na Wanawake nao ni Wahuni vile vile hivyo Mpenzi wako anakuwa au anahesabika ni wa Kwako pale tu unapokuwa nae ndani Kwako / Mwako ila akikuaga tu na kutoka nje ya Nyumbani jua ya kwamba huyo ni wa Wote. Tutafute tu Pesa / Hela / Fedha na kamwe mambo ya Mapenzi yasitufanye tukajisahau kwamba maisha si Mapenzi tu peke yake bali kuna Maendeleo mengine pia tunahitaji kuyafanya ili tukimbizane na wale waliotuacha.

Mimi mwenyewe hapa naweza nikawa nachapa ( na type hivi ) lakini kumbe huko Mjini alipo Demu wangu labda sasa hivi ndiyo anamkatikia Jamaa ( Basha wake ) Viuno utadhani Bombardier imeshika Kasi inataka kupaa kuelekea Songwe Airport. Je na Mimi niache kufanya mambo yangu niwe na Wivu nae? Ninachojua tu ni kwamba wa huko mjini Watanibandulia ila akirudi tu Kwangu Mimi sasa ndiyo nambandua Kunakotukuka hivyo ngoma inakuwa sare sare.
 
Endeleeni kuamini hiyo ni kiki mi nasubiri hii new project
[emoji102][emoji102][emoji101]
9a5c60c5da3b6be8e0e6c37364d4f1c5.jpg

Wozaaaaa nasubiri nione nani kamfunika mwenzake
 
Ndio maana mm sitaki mambo ya kizungu kwny mapenzi
 
Hii ni Kiki siamini kabisaaaa .....ameamua kuchezea watu akili zao.
 
Back
Top Bottom