Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Kle kitu hatari wwMwacheni abadilishe ladha kidogo siyo mbaya.
HAJUI SALA ZA WABONGO ZINAVYOSIKILIZWAGA NA MUNGUUtajisikiaje na ww raia wakikuombea uachane na the Bold?,wanawake pendaneni bhana...
Lakini Hamisa ana mtoto kwa x wakeHuhuuuuuuu kama ni kweli na sio kick kama kawaida ya Diamond nitafanya sherehe.
Ni muda sasa namfuatilia Diamond ktk page yake ya Insta naona kafuta posts mbalimbali zinazomhusu Zari (Kifo cha Ivan),ila sijajua kama angefikia hapa.
Tusubiri na tuone...
Naombeaje kuhusu Misa baby iwe kweli sasa jamani? Uwiiiiiiiii
Haki siwezi kusubiri kumuona Hamisa ndani ya madale.
Yeah [emoji4][emoji4].Zimefika, hope she will meet you one day.
Wakifunga ndoa wataishi pamoja, sahz wanazini tuZari ni mwanamke smart kichwani na mwilini na Naseeb pia akili ya maisha ni mwanaume sometimes! Doubt yangu umeolewa mume anaishi Tanzania unaishi South! Why usiishi Tanzania uende mara moja moja kuchek miradi na kuchukua watoto wakifunga shule?
Hii ndio hali iliyopo instagram,!!
dimond anasema ndio maaana ana hit and run!!
kwamba akina dada hawathaminiki!
Inaonekana zari amecheat na uyo mjamaaa aliye bambia msambwanda wake kwenye swiming pool!
Updates::
Zari kakataaaa kasema picha ilipigwa na mke wa jamaaa!!!!
diamond mkurupuko
ni kweli mkuu...akitoka wanabandua.....[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Mkuu naona unanukuu baadhi ya maneno ya waimba taarabu