KIMENUKA,Diamond na Mavoko wakutana uso kwa uso Basata,Diamond aonekana kutetemeka kama mtoto mdogo alioga maji ya barafu

Diamond kapanic balaa mameneja wote hao kisa mtu mmoja aiseeee

Rich hata kama atapotea ila ana ka ushindi ka kuwatetemesha WCB,akina lavalava watapata afuen ya marupurupu shukran kwa mavoko kuwazindua WCB kutoka kwenye kujiona watawala wakunyenyekewa muda wote
 
ila unaposaini mkataba unkua husomi yaliyomo au unakuwa umeshikiwa bunduki?
 
Wapi nimeongelea mkataba?wale wanaoilalamikia clouds hio mikataba nao huwa hawaisomi?

All in all Wcb wamekomeshwa

tehe tehe tehe.huo ni uongozi wa WBC na shauri lipo kati ya rich mavoko na WBC so hao wote unaowaona ni management ya WBC na huyo diamond ndiyo mtu mkubwa CEO so kama mkubwa yupo ajabu ni nini kuwaona ma manager?
 
kinachompeleka mavoko ni kutoridhishwa na mkataba uongelee au usiongelee ila ukweli uko hapo.

alishikiwa bunduki wakati wa kusaini?
 
Ceo kaongozana na jopo la watetezi halafu ndezi zinajitokeza kumnanga mavoko wakati wcb full mtetemeko. Mameneja kitita kisa mtu mnaesema kapotea hana nguvu hana faida khaaa wonders shall never end

If u know u know,may be bunduki ilihusika. Maana hadi wa leo haijulikan alichofanyiwa roma na wasiojulikana sembuse mavoko na mkataba wa kinyonyaji
kinachompeleka mavoko ni kutoridhishwa na mkataba uongelee au usiongelee ila ukweli uko hapo.

alishikiwa bunduki wakati wa kusaini?
 
Ceo kaongozana na jopo la watetezi halafu ndezi zinajitokeza kumnanga mavoko wakati wcb full mtetemeko. Mameneja kitita kisa mtu mnaesema kapotea hana nguvu hana faida khaaa wonders shall never end

end of the day ukweli utafahamika.kwasababu kinachobishaniwa kipo kwenye makaratasi na sisi sote hatujauona mkataba kati ya pande mbili so wakati mwingine mtazamo wa macho khs huyu katetemeka huyu kaja na watu kitita ni mitazamo tu binafsi.ngoja tuone mwisho wake kisha tuje na stori zingine za kaonewa ooh wamekandamizwa.
 
Safi lets wait and see

Rich amebugi sana, nimefatilia interview alizofanya kabla ya kujitoa WCB na interview ya Sallam SK, WCB wanaonekana wako very professional, nadhani Mavoko kapata washauri wabaya ambao nia yao sio kumsaidia, wanaweza kuwa ni maadui wa WCB wanamumia tu kuichafua WCB na lengo lao likitimia au kufanikiwa hawatakua na time tena na yeye na hapo ndio atajua kama alikua ananyonywa au laah, Ila mwisho wa siku atakuja kuomba msamaha kwa yote anayoyafanya leo, kiufupianajiandalia majuto ya baadae.

Kwenye maisha kila siku tunatafuta marafiki wazuri na exposure, kwa WCB Mavoko alikua amepata vyote sasa anaenda kuvipoteza.
[emoji106]
 
Msaga sumu you need to be killed, hata magazeti ya uwazi na nipashe na ijumaa hufai kuwa mwandishi, uhalisia wa title ya habari na kilichomo ndani ni tofauti kabisaaa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond kapanic balaa mameneja wote hao kisa mtu mmoja aiseeee

Rich hata kama atapotea ila ana ka ushindi ka kuwatetemesha WCB,akina lavalava watapata afuen ya marupurupu shukran kwa mavoko kuwazindua WCB kutoka kwenye kujiona watawala wakunyenyekewa muda wote
Fatilia mambo kwa makini usiongozwe na chuki.......much know can lower ur credibility

Mnazi naona ulikua unaisaka weee video ili kuja kunishushua ila ukweli upo pale pale rich kawavurumisha

Back
Top Bottom