KIMENUKA,Diamond na Mavoko wakutana uso kwa uso Basata,Diamond aonekana kutetemeka kama mtoto mdogo alioga maji ya barafu


Unaweza pata marafiki wazuri lakin uzuri wao upo kwenye kukukandamiza kisayansi...


Rafiki mzuri maishani ni yule unayemwona pale unapojitizama kwenye kioo....
 
Le Panic button bwahahahahaha
ila numbisa na wewe umeona mavoko alivyo toka kule kwenye majadiliano alivyo paniki afu dizain kama lips zilikua zimekauka/zimepauka

kisaikolojia hiyo hali inaonesha umekutana na situation ambayo hukuitarajia na hivyo akili inajikuta ina struggle sana, ili usi faint mwili una regulate maji kuelekea sehem itakayo shusha presha ya mwili

na ndio matokeo ya lips kupauka.
 
Waswahili tunamatatizo mengi yaani mpaka mtu akifanikiwa tunamuona mwizi [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote wawili dai na mavoco walikua wamepanic,we umemuona mmoja tu aiseee kingine mavoko mmezoea muona kideon karembwa full make up na lipshine kupendezesha nyimbo ila hapo basata kaenda yeye kama yeye orijino. Nadhan umemuona na Ceo na tracksuit yake kama anaenda mazoez ya yanga. Ile ni reality,kila mmoja kapewa fact zake,faida na hasara ya mgogoro wao
 
Hizo kauli nshazizoea halafu ujue sijuagi kujipendekeza na kuanza sifia mboyoyo nizoee tu hakuna anayeniandikiaga post humu.
Asee sikuwahi kufahamu kama na wewe una uwezo mdogo namna hiyo wa kutathmini mambo,au kuna mtu anakuandikia hizi post....?frankly speakin leo hauko vizuri.
 

oooh mi nimeshafahamu tatizo ni zaidi ya mnyukano wa dai na rich.hapa tatizo ni lile lile la ki team.
 
Wakuu naombeni ufafanuzi kidogo,mkwaruzano wao upo kwenye mkataba kwamba haujitoshelezi au mlalamikaji hajaridhika na mkataba(unamnyonya),au kuna vitu aliahidiwa kwenye mkataba so hakuvipata
 
kinachompeleka mavoko ni kutoridhishwa na mkataba uongelee au usiongelee ila ukweli uko hapo.


alishikiwa bunduki wakati wa kusaini?
Hata mimi uwa ninajiuliza hivi wkati wanamwaga wino wanakuwaga wamefungwa macho yani sijui uwa hawapitii mkataba wanaoenda kusaini maana daily wasanii kugeuka kusema mikataba ya kinyonyaji............
 
Mwenye ka blogu haka anahoji watu huku anajambajamba! Eeeeti tututututututunakusalimia sisi wawawawapenzizizi wa sanasanasanaaaaa kwakwakwakwaaaaujumla!! Nyoko kabisa hili limwandishi!!
 

umeiona mikataba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…