Kimenuka huko Afrika Kusini

Kati ya weusi mazuzu ni wasauzi hivi wanadeal na kuwafukuza waafrica wenzao, wanawakwepa wazungu.

Wajaribu kuleta hizi habari viunga vya Petori waone😂

wazungu wana tija kwa taifa. Weusi ni mzigo
 
Mimi nafikiri wange deal na makaburu wawaachie nchi yao, labda kama wanataka kuzunguka mbuyu...
 
Sasa hapo sii wamesema kabisa illegal immigrats ndio wanawafanyia kazi. Wee huoni kuwa hiyo ni akili kubwa. Hawana ishu na foreigners wenye permits
Kabla ya kuwazingua watakuwa wanaomba waonyeshwe makaratasi au??
 
Kati ya weusi mazuzu ni wasauzi hivi wanadeal na kuwafukuza waafrica wenzao, wanawakwepa wazungu.

Wajaribu kuleta hizi habari viunga vya Petori waone😂
Swali kwa nini weusi wasikae kwenye nchi zao wakimbilie huko? Wazungu wa huko ni wakazi halali.

Weusi piganieni mazingira mazuri ya maisha kwenye nchi zenu. Msisubiri watu wengine waandae maisha yao kwa vizazi vyao mkimbilie huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…