Kuna mwana dada anaitwa ladynaa alipost tuhuma kwamba Diva anajikomba kwa petitman kwa kumtumia sms za kimahaba
Diva akaja juu na kukanusha hajawasiliana na kutishia anakwenda polisi kadhalilishwa
Mwanadada ladynaa akaona isiwe tabu akazirusha hewani sms, diva akakiri zake lakini akadai kuitana i love you babe na daring ni uzungu tu na hakuna mahaba
Swali kwanini alikataa mwanzo?
Hawa ndio akina usipojipanga nitakupanga,listori kama hili huku linafata nini?!
Nngekuwa uwezo ningekuzimia data wiki nzima ili ututolee ujinga wako hapa.
Jamani Lipumba vipi katowekea wapi?
Hawa ndio akina usipojipanga nitakupanga,listori kama hili huku linafata nini?!
Nngekuwa uwezo ningekuzimia data wiki nzima ili ututolee ujinga wako hapa.
Huo ujinga ndio ukakukuna kiasi kwamba ukashindwa kupita kimya.
Tena hao akina usipojipanga umewajuaje kama huwafatilii???
diva ndio nani na petiti ndio nani?
diva ndio nani na petiti ndio nani?