Kimenuka Insta; Diva adaiwa kupora mme wa mtu, Petitiman

Kimenuka Insta; Diva adaiwa kupora mme wa mtu, Petitiman

diva naona kama anakatabia fulani! Ila bas kuna kinambana
 
Kuna mwana dada anaitwa ladynaa alipost tuhuma kwamba Diva anajikomba kwa petitman kwa kumtumia sms za kimahaba
Diva akaja juu na kukanusha hajawasiliana na kutishia anakwenda polisi kadhalilishwa
Mwanadada ladynaa akaona isiwe tabu akazirusha hewani sms, diva akakiri zake lakini akadai kuitana i love you babe na daring ni uzungu tu na hakuna mahaba

Swali kwanini alikataa mwanzo?

Kwahiyo ww ndo mpambe acha umbea
 
Back
Top Bottom