Chanzo nguo ya Zamaradi aliovaa kwenye arobaini ya mwanae Salah. Eti inasemakana aliiba idea kwa Hamisa na akashona kwingine.
Sasa na siri zingine zinafichuka wengine tulikua hatujui kwamba Zama hanyonyeshagi wanae akijifungua waja wanauliza kulikoni?.
Ila jamani maisha ya instagram sio maisha kila kitu unapost unataka umfaidishe nani kwa mfano. Basi imekua ni kushindana daily. Wakaka ambao hamjaoa kwa kweli angalieni wachumba zenu kama wana instagram fever hao sio wa kuoa (yani kupost kila kitu) mwisho wa siku ni kuumbuana