Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Kalpana

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
32,603
Reaction score
62,269
Chanzo nguo ya Zamaradi aliovaa kwenye arobaini ya mwanae Salah. Eti inasemakana aliiba idea kwa Hamisa na akashona kwingine.

Sasa na siri zingine zinafichuka wengine tulikua hatujui kwamba Zama hanyonyeshagi wanae akijifungua waja wanauliza kulikoni?.

Ila jamani maisha ya instagram sio maisha kila kitu unapost unataka umfaidishe nani kwa mfano. Basi imekua ni kushindana daily. Wakaka ambao hamjaoa kwa kweli angalieni wachumba zenu kama wana instagram fever hao sio wa kuoa (yani kupost kila kitu) mwisho wa siku ni kuumbuana
 
Why don’t they just meet up and shoot the fair one? World star hip hop style..

That’s the way I like it and that’s the way we did it back in the day.

Social media beefing is for cowards.
Bare in mind that they are not musicians rather than Bongo movie, so you never know unawezakukuta hata hapo wanaandaa scenes.
 
Moja ya sababu ambazo zinaweza sababisha mtu asiruhusiwe kunyonyesha watoto..ni pamoja na maradhi ya oma ya ini na ndugu yake mkubwa...

Lakini pia anaweza kutonyonyesha kutokana na maziwa kuto toka kabisa

Pia mtu anaweza kutonyenyesha baada ya kuamua tuu ili kulinda mwili wake hasa maziwa kishuka na mabadiliko mengine yanakuja baada ya mtu kuanza kunyonyesha....
 
Back
Top Bottom