Ww nadhan ulimuelewa....mm sijawah kumuelewa. Nilitamani kununua ugomvi nijifanye dada wa Ruge. Khaaaaaa af Leo hii unakaa chini ya Dari yake ww na mission town wako.....mptyuuuuuSikumwelewa.
Ruge nadhanu haamini mpk kesho.
Yule chizi akiguswa ataingia mbonaKm namuona faiza wa sugu anavyotamani aingilie kati mpambano na yeye apate mileage
NN hahhahahaha hahahaha.
Leo tumekuvurugaaaaaaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaniharibia my brand[emoji15]
Leo insta ni mambo ya brand yangu!Naona huko insta kuna mashindano ya brand...now hadi haji manara ana management ya kusimamia brand yake
Kumbe nimedisco tayar......haya nipepo chabo mwenzio.....stak kukamatwaMwali rudi DARASA la ubuyu UB 101.
hii umeabscond hii course.
Hata carry over sidhaaaaani Kama unapata kwa hiii CW.
😛😛😛😛"Brand my brand unaniharibia my brand [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] "
Akhaaaaaaa kwa hiyo hiyo nyumba ni ya Ruge makubwa haya mjiniWw nadhan ulimuelewa....mm sijawah kumuelewa. Nilitamani kununua ugomvi nijifanye dada wa Ruge. Khaaaaaa af Leo hii unakaa chini ya Dari yake ww na mission town wako.....mptyuuuuu
HaaahaaaYaaaaaani. Mwami aliaibika. Mjengo wa watu kuufanyia na dua jamani.
Dada itakuwa Kuna kitu kaniwekea kwenye mchicha karanga niliokula mchana.Umekula ubuyu leo
Na mamiili yanakuwa makubwa kono kono, mpaja paja!Ila sura zinazeeka ndo chakushangaza
Ww nadhan ulimuelewa....mm sijawah kumuelewa. Nilitamani kununua ugomvi nijifanye dada wa Ruge. Khaaaaaa af Leo hii unakaa chini ya Dari yake ww na mission town wako.....mptyuuuuu
Watu wa kigoma tumemkana naomba ndugu zetu wa haya wamchukueKigoma kabila moja na mondi
Unaniogopesha sasa mkuu[emoji15] [emoji15]Halafu watu wanadhani sijui ukimwi mpaka upate mchubuko Wa kuweka plaster . kile kidudu ni kidogo hata microscope yakawaida haokani mpaka advanced microscope ambazo tz hazifiki hata 10 .. Hizi test kazi yake ni kucheki cd4 n special reaction ya vvu na hizo chemical kwenye kipimo. So mchubuko ambao wewe uhuhisi mdudu anakuingia tuu bila stress
Kwa kweliHakika aisee!
Naona nyota nyota tu.
Let me take my old ass outta here.
Uhakika sio yake sasa nakwambia!Ya Madam Perfect inasemekana alijengewa na boss Ruge.
Nyie wa kigoma kwa sifa ndyo mnaongozaWatu wa kigoma tumemkana naomba ndugu zetu wa haya wamchukue
Wahaya wamenituma wanasema abaki tu kwenu kwao hawamtakiWatu wa kigoma tumemkana naomba ndugu zetu wa haya wamchukue