Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Zama aliniudhi sana aliporusha ile clip ya ruge kwa mange. It's like alikuwa anatidoboleshea kuwa she is that hot to make a man cry.......but the bad side of it she fooled herself. Karma is a bitch. Alipanga kumdhalilisha ruge Leo anadhalilika yeye tena mchana kweupe. No
Halafu ruge now hana hata habaree...na kaishasahau kazi kwake sasa!
 
Ewaaaaa.. na alivyo mjanja akafytua wawili paaaap ili awe tofauti na wenzake apewe nyingi. Kwanza alikuaga Ruge atamuoa ndo maana akashusha haraka haraka kumbe mwenzie senior bachelor zaa at your own risk mamiyake
First degree bachelor Ruge....haoi Leo, kesho, kesho kutwa

Bado nipo nipo....hivi tatizo ni nini kwanini haoi na ana kila kitu?
 
Mshono wazua balaa kumbe mwenye mshono ni mwingine. Hamisa mwizi wa kila kitu msyuuuuuu kile kidem kichawi
39039268_2141970109384556_8361810449204772864_n.jpg
 
Ila jaman turudi kwenye point ya msingi,

Kulikuwa kuna mantiki yyte ile ya kumtongoza Misa kwenye hii ishu?

Mi nafikir Zama alichemka. Alitakiwa a deal na waliosema kwann awachangishe hela af ajinasibu kuwa katoa zake peke yake. Using misa as a scapegoat ni kitu kisichokubalika

Sina u team but am trying to be fair
I like it my Dada!halafu sasa ishu ya gauni ameikuzaaa kuliko ya michango!
 
Back
Top Bottom