Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Halafu ruge now hana hata habaree...na kaishasahau kazi kwake sasa!
 
Ewaaaaa.. na alivyo mjanja akafytua wawili paaaap ili awe tofauti na wenzake apewe nyingi. Kwanza alikuaga Ruge atamuoa ndo maana akashusha haraka haraka kumbe mwenzie senior bachelor zaa at your own risk mamiyake
First degree bachelor Ruge....haoi Leo, kesho, kesho kutwa

Bado nipo nipo....hivi tatizo ni nini kwanini haoi na ana kila kitu?
 
I like it my Dada!halafu sasa ishu ya gauni ameikuzaaa kuliko ya michango!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…