Haaahaaa.....niliona hiyoooo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakupendeza hata punjeee!!
Shilole alimuuliza hivi"usinambie kua kakushonea yule msichana"anamreferee hamisa akakataa zama akaanza kumsifu
Mi nilishindwa KUELEWA ile mikono na ule mburuzo.lol, tangu day one namuona Z kavaa ile nguo i was like "damn! what the hell"
kumbe ni mwili ndio ulimuangusha eeh basi pole yake lakini sikuona kama alipendeza.
Kuna mambo na vijamboo!!!Mmmmh mjini hapa......
Sana tuuu!full kuliliwa bidada!watu wanaangalia utamu wa k sio uzuri wa suraaUmejuajeeee...kirefuu kama mlenda wa ziada
Uwiiii...watu wanaumbukaMshono wazua balaa kumbe mwenye mshono ni mwingine. Hamisa mwizi wa kila kitu msyuuuuuu kile kidem kichawiView attachment 836959
Hata mi nilikuwa siamini kutokana na caption + clip insta za Z .....hee siku napewa udaku na mdogo mtu ( she's my shost) nilidataa! I was like " whaaaaaat?Hapo kupanga nasadiki,hivi kabisaa waweza kuruhusu misheni akae kwakooo!miguu juu!kajiachia!sio akili hizoo!!mitope mitupuu!!!
Ahsante!! Kumbeee!ili tu ammwage boss rugee!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Za kitaaa
Zina semaaaaa ULE MJENGO NA ILE HARUSI NI KWA HISANI YA WATU WA DAR ES SALAAAM.
Jaaaaaapo,ulionekana toka ujenzi!!
iiiiiiila baba Feza praimare sio mhusika wa tofali zile.
weeeeeeeh BADAMU BANGEMWAIKA MWAAAAAI MWAAAAI.
[emoji23] [emoji23] raha ya ubuyu mate bibi weeeeWee ukishaambiwa sio yake huelewi? Tutaje jina la baba house inahuu?
Me kwenye ule mburuzo ndio alinitibua nyongo kabisaaaa, waalikwa walipendeza mama Shughuli akachina lol.Mi nilishindwa KUELEWA ile mikono na ule mburuzo.
SIKUELEWA
Dadyaaa!!Ahsante!! Kumbeee!ili tu ammwage boss rugee!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hawapatani kisa diamond kuzaa na hamisa !!!yaani tena anaonesha waziwazi shiloleKwani Shilole na Hamisa hawapatani??
Jamani jamani mbona ma big haya.
Sura mpelekee boss akupe kazi watu wanaangalia kiarage kinalipa au ndo kina suguu babu weee[emoji85] [emoji85] [emoji85]Sana tuuu!full kuliliwa bidada!watu wanaangalia utamu wa k sio uzuri wa suraa
Shule mhimu jaman...elimu..elimu..elimu!!!Haaahaaa.....niliona hiyoooo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila ila midemu sijui ndo shule haaahaaa yaan full kichwani kuna funzaa
Hahaaa!!daah!kumbeee!lazima uchoke bestHata mi nilikuwa siamini kutokana na caption + clip insta za Z .....hee siku napewa udaku na mdogo mtu ( she's my shost) nilidataa! I was like " whaaaaaat?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dadyaaa!!
Haahaaa[emoji23] [emoji23] raha ya ubuyu mate bibi weeee
We acha tuuShule mhimu jaman...elimu..elimu..elimu!!!
Juju kifupi cha juniorRussell bibi wewee!!juh juh madoidoii!!
AiseeeRayna una akili mia mia...nimeshangaa watu humu mnampa misifa milioni!
Hivi mwanaume rijali iwe kweli nyumba yake utathubutuu kuingiza kidume mwingine mlee? Thubutuuu!
Sasa hili ndo jibu hiyo nyumba sio yake
( anapangisha)
Mana kitambaa kizito duvet kile unakijaza chini vile no wonder haikukaa mabegani!!Me kwenye ule mburuzo ndio alinitibua nyongo kabisaaaa, waalikwa walipendeza mama Shughuli akachina lol.
Halafu sasa hivi analeta magazeti yake huenda angeshona kwa Hamisa angependeza.