Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Hakupendeza hata punjeee!!

Shilole alimuuliza hivi"usinambie kua kakushonea yule msichana"anamreferee hamisa akakataa zama akaanza kumsifu
Haaahaaa.....niliona hiyoooo[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ila ila midemu sijui ndo shule haaahaaa yaan full kichwani kuna funzaa
 
Za kitaaa
Zina semaaaaa ULE MJENGO NA ILE HARUSI NI KWA HISANI YA WATU WA DAR ES SALAAAM.

Jaaaaaapo,ulionekana toka ujenzi!!
iiiiiiila baba Feza praimare sio mhusika wa tofali zile.
weeeeeeeh BADAMU BANGEMWAIKA MWAAAAAI MWAAAAI.
Ahsante!! Kumbeee!ili tu ammwage boss rugee!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Me kwenye ule mburuzo ndio alinitibua nyongo kabisaaaa, waalikwa walipendeza mama Shughuli akachina lol.

Halafu sasa hivi analeta magazeti yake huenda angeshona kwa Hamisa angependeza.
Mana kitambaa kizito duvet kile unakijaza chini vile no wonder haikukaa mabegani!!
Mana chini kuzito!!
Mabega haikufit!!
Basi ikawa tu tafran
Mara huku sendo za Shabani
Mara huku zile green house.
Hujakaa vizur pinki pinki ile imechambuliwa chambuliwa ya yule Nani sijui
Mara kule miguu ya Mama Teri.
Kule vipepeo vya wanakamati
Mara kapita mama dogo na wowowo mstatili lake ,nakwambia kilikuwa na matukiooooooooooo.
 
Back
Top Bottom