D
HahahahahaMi nilishindwa KUELEWA ile mikono na ule mburuzo.
SIKUELEWA
Ila mbona alikua anapost clip za mjengo kabla haijakamilika.??Hata mi nilikuwa siamini kutokana na caption + clip insta za Z .....hee siku napewa udaku na mdogo mtu ( she's my shost) nilidataa! I was like " whaaaaaat?
First degree bachelor Ruge....haoi Leo, kesho, kesho kutwa
Bado nipo nipo....hivi tatizo ni nini kwanini haoi na ana kila kitu?
Mtu kuclip mjengo haujaisha na sio wa kwake unaona kama haiwezekani eeh?Ila mbona alikua anapost clip za mjengo kabla haijakamilika.??
Yaap!ila jina kamili Russell km ulaya tuuJuju kifupi cha junior
Hivi ni kwanini mzee baba?james mattis waziri wa ulinzi wa trump.. ni life time bachelor... dangote ndoa ilimshinda...
watu wenye ndoto kubwa huwa hawawezi ndoa
Mhhh aisee..anayaweza mbonaMtu kuclip mjengo haujaisha na sio wa kwake unaona kama haiwezekani eeh?
Kwani kafanya mangapi yulee au wasanii wa kibongo wanafanya mangapi?
Na ule mjengo wa Wema milioni 400 uliamini eeeh?
Polee
YessYaap!ila jina kamili Russell km ulaya tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sura mpelekee boss akupe kazi watu wanaangalia kiarage kinalipa au ndo kina suguu babu weee[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Usishangae shost ni ile kujipandisha brand u know?Mhhh aisee..anayaweza mbona
Hahahahaha..hapo kwenye brand Jana nilivyokua nasoma wosia wake nilicheka sanaUsishangae shost ni ile kujipandisha brand u know?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ile ya da wema ndo iliua ilee!haitokaa itokeee!Mtu kuclip mjengo haujaisha na sio wa kwake unaona kama haiwezekani eeh?
Kwani kafanya mangapi yulee au wasanii wa kibongo wanafanya mangapi?
Na ule mjengo wa Wema milioni 400 uliamini eeeh?
Polee
Nilitaka kushanga hili lidemu lisitokee hapa na miwivuu yake plus plus[emoji23] [emoji23] [emoji23]Si nilisema!!!View attachment 836992
Hivi ni kwanini mzee baba?
Yaleyale[emoji3] [emoji3] [emoji3]Si nilisema!!!View attachment 836992
Wosiaaa..mbona wosiaaa[emoji3][emoji16][emoji23][emoji16]Usishangae shost ni ile kujipandisha brand u know?
Haahaaahaaa....yaaan brand brand mara brand watu tukajikuta brand...brand ikawa brand [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haaaahaa uwiiiHahahahaha..hapo kwenye brand Jana nilivyokua nasoma wosia wake nilicheka sana
Sanaaaaa happy kapoa anajilia vyakeNilitaka kushanga hili lidemu lisitokee hapa na miwivuu yake plus plus[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kiboko yake happy full kulichunia halijibu wala nini! Sugu ana mke palee