Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Hawa wanajuana. Ushauri mzuri. Kila mtu anamaisha yake na anashida na shughuli zake. Pambana na maisha yako. Acha waendele kutoana kasoro. Kwan na wewe pia unashida zako.
 
Unajua mambo kama haya yanafanya siku iwe fupi. Yani umbea una raha sana ila usiwe unasemwa au kunangwa maana unaweza kukonda kwa dkk
 
Kule kumefungwa witnessj inauma sana pale unapotumia kila njia kumchafua mtu halafu zinafeli naangenila hata siku moja post ambayo angekuja nayo "NIMETOKA KUTOOMBA AMU GUEST MCHIKICHINI" kulika nalika si mwanamke mie,ila nina vigezo vyangu hujatimiza tuachane kistaarabu siyo kutumia kila njia kunichafua
 
Kwani alitaka kukula?

Afuu huyo jamaa mbona ID yake maarufu inajulikana humu?
 
Back
Top Bottom