Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
KumbeeeSasa jee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KumbeeeSasa jee
Haaahaaa....unajikutaga tuuKumbeee
Mtu mwenyewe pamoja na kujidai kazaa na hao wanaume lkn bado maisha yake ya kawaida tu. Siku akifika level za kina zari na Jackline Mengi sijui itakuwaje.Anajiona kazaa na mayweather
Oooooh
Aiseeee alifanya vibaya.. ilikuwa mashauzi kuwa yupo juu kumbe hamna kitu
Koku angelipata tungeikoma Uturn...
Ndio akili za hamisa hizo, eti kila bifu anajifanya innocent hlf mdogo na wakati huko down pametoa vichwa viwili.Anajikuta mtoto hakui.
Tutatembea na mipira ya kupumulia gesi Siku hiyoMtu mwenyewe pamoja na kujidai kazaa na hao wanaume lkn bado maisha yake ya kawaida tu. Siku akifika level za kina zari na Jackline Mengi sijui itakuwaje.
Ule mshono mzuri sanaa sema hana mwili wa kuvalia ule mshono
DuuuhHana tako la kuzuia nguo.
Ana vibali vya kukaa nchini kwetu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Burundi
Huko wanapost makalio tuChanzo nguo ya Zamaradi aliovaa kwenye arobaini ya mwanae Salah. Eti inasemakana aliiba idea kwa Hamisa na akashona kwingine.
Sasa na siri zingine zinafichuka wengine tulikua hatujui kwamba Zama hanyonyeshagi wanae akijifungua waja wanauliza kulikoni?.
Ila jamani maisha ya instagram sio maisha kila kitu unapost unataka umfaidishe nani kwa mfano. Basi imekua ni kushindana daily. Wakaka ambao hamjaoa kwa kweli angalieni wachumba zenu kama wana instagram fever hao sio wa kuoa (yani kupost kila kitu) mwisho wa siku ni kuumbuana
Wewe lihamisa lizee lile...kipindi kile anajiviringisha machatu shingoni ulikuwa form gani vilee?Ndio akili za hamisa hizo, eti kila bifu anajifanya innocent hlf mdogo na wakati huko down pametoa vichwa viwili.
Nacheka kizamaradi kwah kwah ....nawe umoo eeh?Hana tako la kuzuia nguo.
Hahhahaha jamani, watu mmeamua kufukua makaburi aiseYaaaaaani. Mwami aliaibika. Mjengo wa watu kuufanyia na dua jamani.
mhhhhh leoooo mambo mengi mpk nashindwa kupikaKule kumefungwa witnessj inauma sana pale unapotumia kila njia kumchafua mtu halafu zinafeli naangenila hata siku moja post ambayo angekuja nayo "NIMETOKA KUTOOMBA AMU GUEST MCHIKICHINI" kulika nalika si mwanamke mie,ila nina vigezo vyangu hujatimiza tuachane kistaarabu siyo kutumia kila njia kunichafua
Yaan we acha tuAkhaaaaaaa kwa hiyo hiyo nyumba ni ya Ruge makubwa haya mjini
Ghosh! unashindwa kupika kisa Jf?....umbea wa humu yaan ni kama niko bar vile!mhhhhh leoooo mambo mengi mpk nashindwa kupika
Nanogesha tuu jukwaa mrembo naanzaje sasa kuacha kupika hapa watt wanalia njaa mara baba nae karudi anataka mososi hahahhGhosh! unashindwa kupika kisa Jf?....limtandao la umbea? Yaan mi ni kama niko bar vile!
Huwezi amini umbea huu naupigia ofisini, barabarani, home, kuoga, kuchill yaan vyote hivyo navifanya na haviaffect ishu zangu za maana!.....haahaa marafiki zangu walionizoea wanasemaga natype kama Secretary wa magu!...yaaan ni vidole vinatambaa kama koboko mchangani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Heee kweli???? aiseee nimeshtuka kumbe witnessj ni mkaka mhhhhh. Napika my nishamaliza kwanza na kula