Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Haaahaaaahaa....haki nyie mnachekesha hamisa ana 25?....Hamisa na Wema wana umri sawa!
My God!! Hamisa anashiriki Miss Xxl ilikua 2010 wakati huo ana miaka 16 na Miss Tanzania akashiriki 2011.

Wema Miss Tanzania kashiriki 2006,
Hata Wema alishasema kua Hamisa ni mdogo wake hawawezo kua sawa kiumri. Wema wa 88 na Hamisa wa 94.
 
Duhhh culture gal hata kama mapenzi ka chuchunge....hebu flashback ur memories about majoka si ilikuwa 2008?...pale alikuwa na 16 years??[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
hiyo 94 ni kwa mujibu wake ingawa haingii akili mtu ashiriki umiss under age...
Aah watajua wenyewe wasanii wa bongo pasua kichwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…