MBAPPE
JF-Expert Member
- Mar 7, 2018
- 303
- 344
Nakuja pmWee acha tuuu...lichura langu kuna siku domo kazimia pale leaders ....maana alizoea la mama ubaya la kichina!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuja pmWee acha tuuu...lichura langu kuna siku domo kazimia pale leaders ....maana alizoea la mama ubaya la kichina!
My God!! Hamisa anashiriki Miss Xxl ilikua 2010 wakati huo ana miaka 16 na Miss Tanzania akashiriki 2011.Haaahaaaahaa....haki nyie mnachekesha hamisa ana 25?....Hamisa na Wema wana umri sawa!
Zamaradi na mumeweKaolewa na nani?
Duhhh culture gal hata kama mapenzi ka chuchunge....hebu flashback ur memories about majoka si ilikuwa 2008?...pale alikuwa na 16 years??[emoji15] [emoji15] [emoji15]My God!! Hamisa anashiriki Miss Xxl ilikua 2010 wakati huo ana miaka 16 na Miss Tanzania akashiriki 2011.
Wema Miss Tanzania kashiriki 2006,
Hata Wema alishasema kua Hamisa ni mdogo wake hawawezo kua sawa kiumri. Wema wa 88 na Hamisa wa 94.
hiyo 94 ni kwa mujibu wake ingawa haingii akili mtu ashiriki umiss under age...Duhhh culture gal hata kama mapenzi ka chuchunge....hebu flashback ur memories about majoka si ilikuwa 2008?...pale alikuwa na 16 years??[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Duhhh culture gal hata kama mapenzi ka chuchunge....hebu flashback ur memories about majoka si ilikuwa 2008?...pale alikuwa na 16 years??[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mwambie huko nyuma wana mapango kama ya torabora, akikuuliza mi nipo witness.Hii hii Pemba au?
Wanawake mna wivu kweliYaaan anajionaga so special yaan!
Siku anaturingishia mjengo wake insta ndo nikamuonaga ohooo!
Hivi kumbe alifukuzwa,kosa niniZama ana tabia ya unafiki na umbea pia ni mchonganishi mno. Kawaida mtu kama huyu si vizuri kukaa naye karibu au kumfanya kuwa rafiki. Alimfukuzisha Dina Marios kazi pale Clouds.
kwani unaishi nae nyumba moja?Sasa na siri zingine zinafichuka wengine tulikua hatujui kwamba Zama hanyonyeshagi wanae akijifungua waja wanauliza kulikoni?.
Haaaahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binti ana team inayotumia nguvu kumpunguzia umri ili aonekane katoto kabisa
Ha ha ha....uwiiMwambie huko nyuma wana mapango kama ya torabora, akikuuliza mi nipo witness.
Ila unicheck pm
Hapana sina timu ila sipendi uonevu hata Wema namteteaga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utimu nshaacha mda sana!Haaahaaa.....utimu utakuua my shost ake[emoji108] [emoji108] [emoji108]
Kivip mkuu...funguka!Wanawake mna wivu kweli
Hapana nimemfundisha Tandika secondary miaka hyooo field naongea ninachokifahamu dear!!![emoji3][emoji16][emoji16]hana ukubwa huoo sema umalaya wameanza mapema sana!!Lizeeee bana acha uteam shost...mijoka kipindi kile anaivaa si ulikuwa 2008?...watu tulikuwa form three huko...sema ukweli rayna?
Baasi tu nampenda alivyo ila ujinga wake ndo ananikeraga Mimi!kujifanya mjuvi mniUnampendea nini?
Haaahaaaa...watu mna mapenzi hasaBaasi tu nampenda alivyo ila ujinga wake ndo ananikeraga Mimi!kujifanya mjuvi mni
Hapana bwana[emoji3][emoji16][emoji23]yaani hamisa umri wake sahihi ni 25 am telling uu!!hana ukubwa wowote yule Mimi naenda field tandika yuko form two back then!Amini maneno yanguHaaahaaaahaa....haki nyie mnachekesha hamisa ana 25?....Hamisa na Wema wana umri sawa!