kuna Beer na nyama choma!Shemeji hapa kunani?
Kiukweli alinikera alipomtumia Mange clip za Ruge anabembeleza huku analia, I had no doubt ni yeye alimtumia japo sikuamini jinsi anavyojipotray so innocent
Fanya haraka sana. Usisahau kaka akidedi nakurithi...kuna Beer na nyama choma!
tukuletee ya baridi na mguu au mbavu?
Hivi kumbe alifukuzwa,kosa nini
kunyonyesha kuleta homoni ibalance vizuri kwa mwanamke na kumrejesha katika umbo la usichana,Moja ya sababu ambazo zinaweza sababisha mtu asiruhusiwe kunyonyesha watoto..ni pamoja na maradhi ya oma ya ini na ndugu yake mkubwa...
Lakini pia anaweza kutonyonyesha kutokana na maziwa kuto toka kabisa
Pia mtu anaweza kutonyenyesha baada ya kuamua tuu ili kulinda mwili wake hasa maziwa kishuka na mabadiliko mengine yanakuja baada ya mtu kuanza kunyonyesha....
Kwenye maisha nimejifunza kumheshimu exKiukweli alinikera alipomtumia Mange clip za Ruge anabembeleza huku analia, I had no doubt ni yeye alimtumia japo sikuamini jinsi anavyojipotray so innocent
Daaa!!! Hivi naskia muge mahaba yupo tanesco Naye,au story tuZama hakutaka mwanamke yeyote awe juu yake pale Clouds kwa kuwa alikuwa anapandikizwa miba na 'Zee la Miba' hivyo hakutaka kushare dushe na wengine na ndiyo maana wenzake walikuwa wanamuogopa kwani akihisi Mze wa Miba anakufuatilia LAZIMA atakutafutia kisa ufukuzwe. Kuna vingi ila haya ni machache tu wayasemayo wenzake.
Hahahahaa jmn naona leo watu mnatembea kwa code tu.Daaa!!! Hivi naskia muge mahaba yupo tanesco Naye,au story tu
Huu ubuyu kuhusu Mwami ulinipita wapi jamani..Yaaaaaani. Mwami aliaibika. Mjengo wa watu kuufanyia na dua jamani.
na /dinamarios nasikiaKumbe Zama aliwagombanisha Ruge na Joe! Sasa wamepatana na wameshamjua mchawi wao π
Uturn shogaaHuu ubuyu kuhusu Mwami ulinipita wapi jamani..
Story bwanaa japo aumwa saa hiziDaaa!!! Hivi naskia muge mahaba yupo tanesco Naye,au story tu
Hapana akikosea atasemwa kwani hamisa hapa ana kosa gani?labdaNimekupenda hapa tu....ukimpenda mtu basi usijivike upofu wa kutoona mapungufu yake.......tatizo watu wamekaliwa na mahaba yasio na kichwa hawaoni hawasikii....baya kwao zuri hawajui kukosoa kwenye baya zaidi ya kusifia....... π³ π π π π
Huwezi mlinganisha na washindani wake!!Sasa 25 ni young?
Vipi umewahi kutembea nae nini,mbona unamtetea[emoji23] [emoji23] [emoji23]Story bwanaa japo aumwa saa hizi