Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Kiukweli alinikera alipomtumia Mange clip za Ruge anabembeleza huku analia, I had no doubt ni yeye alimtumia japo sikuamini jinsi anavyojipotray so innocent

Mtu mnafiki siku zote ndivyo alivyo….wanapenda sana kujifanya wao wako innocent. Yaani ni sawa na mchawi tu kujifanya ni muumini mzuri msikitini au kanisani kumbe usiku anafinya wenzake gizani.
 
Hivi kumbe alifukuzwa,kosa nini

Zama hakutaka mwanamke yeyote awe juu yake pale Clouds kwa kuwa alikuwa anapandikizwa miba na 'Zee la Miba' hivyo hakutaka kushare dushe na wengine na ndiyo maana wenzake walikuwa wanamuogopa kwani akihisi Mze wa Miba anakufuatilia LAZIMA atakutafutia kisa ufukuzwe. Kuna vingi ila haya ni machache tu wayasemayo wenzake.
 
Moja ya sababu ambazo zinaweza sababisha mtu asiruhusiwe kunyonyesha watoto..ni pamoja na maradhi ya oma ya ini na ndugu yake mkubwa...

Lakini pia anaweza kutonyonyesha kutokana na maziwa kuto toka kabisa

Pia mtu anaweza kutonyenyesha baada ya kuamua tuu ili kulinda mwili wake hasa maziwa kishuka na mabadiliko mengine yanakuja baada ya mtu kuanza kunyonyesha....
kunyonyesha kuleta homoni ibalance vizuri kwa mwanamke na kumrejesha katika umbo la usichana,
ni kawaida sana kwa mama maziwa kutoka baada ya siku kadhaa tangu kuzaliwa kwa mtoto.
 
Kiukweli alinikera alipomtumia Mange clip za Ruge anabembeleza huku analia, I had no doubt ni yeye alimtumia japo sikuamini jinsi anavyojipotray so innocent
Kwenye maisha nimejifunza kumheshimu ex
Huyo nae anakuwa kama mwehu
 
Zama hakutaka mwanamke yeyote awe juu yake pale Clouds kwa kuwa alikuwa anapandikizwa miba na 'Zee la Miba' hivyo hakutaka kushare dushe na wengine na ndiyo maana wenzake walikuwa wanamuogopa kwani akihisi Mze wa Miba anakufuatilia LAZIMA atakutafutia kisa ufukuzwe. Kuna vingi ila haya ni machache tu wayasemayo wenzake.
Daaa!!! Hivi naskia muge mahaba yupo tanesco Naye,au story tu
 
Bongo matahira wengi unakuta mtu ni super star ila tahira .mi sipendi wanavyogombana afu wanatumia ukimwi kama silaha. Sa kama mtu ana ukimwi si wake[emoji22] .zama wa watu she is so humble
 
Nimekupenda hapa tu....ukimpenda mtu basi usijivike upofu wa kutoona mapungufu yake.......tatizo watu wamekaliwa na mahaba yasio na kichwa hawaoni hawasikii....baya kwao zuri hawajui kukosoa kwenye baya zaidi ya kusifia....... 😳 😀 😀 😀 😀
Hapana akikosea atasemwa kwani hamisa hapa ana kosa gani?labda
 
Back
Top Bottom