Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Aisee hapa mjini tuwe makini mashirika ya umeme mengi kweli


Na ubaya wa mademu wa mjini hata akiwa wakala wa shirika la umeme hakuambii japo anajijuwa....siku ukianza kuumwa na kumshutumu anakuambia hata yeye alikuwa hajuwi. Kwa hasira na wewe kama hauna moyo unakwenda sambaza kwa wengine makusudi. Epukana sana na masista duu wa mjini, wanapitia changamoto sana ya kuishi maisha fake Instagram ili waonekane mastaa uchwara wa mtandaoni ndiyo maana kila kukicha wanagombania mabwana na kuandika siri zao hadharani.
 


Shirika la Tanesco ni la taifa, halina hodi wala taarifa....popote linapita tu kusambaza.
 
Vera si kwa udaku huu
 
Naona kimya kimyaaa InstagramTimu zimepoaaa kama maji mtungini. Wengine wamefuta post. Mange amemua kumuunga mkono Dimond anajikatia mauno ameacha siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…