Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Hapana hajawekwa na Zama
Kuna jamaa anajiita pck
Milly alipewa habari kuwa jamaa tapeli anatapeli watu,mara tuhuma kibao
Jamaa akabisha lkn Milly akazidi kumkomalia
Kumbe jamaa akachukua rb kimya kimya lkn ikawa ngumu kumshika
Akaamua kumtumia jamaa anaishi mwananyamala komakoma ili amuingie kwa gia ya kutongoza
Milly akawa mgumu lkn hakuna mkate mgumu kwenye chai
Maana Milly alifikia hatua anataka hela hlf jamaa anamtumia
Mwishowe wakapatana wakutane lamada hotel na ndio hapo alikamatwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee una data. Ila namuonea huruma.sometimes kujitia kimbelembele nako kunaponza.wengine wanaishia kukucheka
 
Hapana hajawekwa na Zama
Kuna jamaa anajiita pck
Milly alipewa habari kuwa jamaa tapeli anatapeli watu,mara tuhuma kibao
Jamaa akabisha lkn Milly akazidi kumkomalia
Kumbe jamaa akachukua rb kimya kimya lkn ikawa ngumu kumshika
Akaamua kumtumia jamaa anaishi mwananyamala komakoma ili amuingie kwa gia ya kutongoza
Milly akawa mgumu lkn hakuna mkate mgumu kwenye chai
Maana Milly alifikia hatua anataka hela hlf jamaa anamtumia
Mwishowe wakapatana wakutane lamada hotel na ndio hapo alikamatwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Heee kumbe pole yake ndio maana sijaona umbea tangu majuzi mweh yule demu nilimuona mjinga kuacha kibarua dubai kurudi bongo njaa kali
 
Huyu nae sijui enzi za kumtukana le mutuz kibamia nae alikua anatukana humo humo au alipotezea
IMG_20180818_132625.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mpaka nimepaliwa,watu mna maneno
Huyu naye,,ndivo alivo au ngiri imemkamata
 
Back
Top Bottom