Hapana hajawekwa na Zama
Kuna jamaa anajiita pck
Milly alipewa habari kuwa jamaa tapeli anatapeli watu,mara tuhuma kibao
Jamaa akabisha lkn Milly akazidi kumkomalia
Kumbe jamaa akachukua rb kimya kimya lkn ikawa ngumu kumshika
Akaamua kumtumia jamaa anaishi mwananyamala komakoma ili amuingie kwa gia ya kutongoza
Milly akawa mgumu lkn hakuna mkate mgumu kwenye chai
Maana Milly alifikia hatua anataka hela hlf jamaa anamtumia
Mwishowe wakapatana wakutane lamada hotel na ndio hapo alikamatwa
Sent using
Jamii Forums mobile app