Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Kwa kosa lipi? Manake hata ule uzi wa jana wa kijana Emma kwamba Zama katapeli naona umefutwa
Watu wa naogopa😂😂 carrymastor lazima a stop nayy kumchamba. Ila Milly alimkomalia sana
 
Niko dogo langu. Ila hapo kwenye £ mmmmh 😎
Karibu sana kigamboni....hivi nina Lea kichanga. Na miye nasubiria nianze she grupu la kuomba mchango wa 40 japo nje mle pilau na nivae gauni toka kwa mobeto
Hehehehheeh.....usijali dada angu.
Ila utujue na unaotuadd.
Isije mwisho wa siku tukaja kushikana uchawi mwaya.
 
Aiseee hivi ulimuelewa vzr mpwa uliye mquote?
Katumia sanaaa sana kuwasilisha hoja yake. Rudi kamsome upya
NIMEMUELEWA SANA
acha wasambaze, mm JF naiogopa ukiLIKE jina linajitokeza
acha picha la kihindi liendelee mm na Pop corn hapa Dada yangu
Hongera kwa kulea kichanga
Hivi Dai si yupo? Milly hawezi lala sakafuni na mtoto wa mwanamuziki
 
Milly anatumia Id gani instagram
 
Ila hamisa jamani sitasahau jamaa wa kiarabu alimla kirahisi sana
 
Yaani hamisa ameliwa sana na jamaa wa kiarabu sema mengine tunaficha
 
Back
Top Bottom