gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,692
Kwa kosa lipi? Manake hata ule uzi wa jana wa kijana Emma kwamba Zama katapeli naona umefutwaNaskia Milly kawekwa rumande na zama. ☺☺
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kosa lipi? Manake hata ule uzi wa jana wa kijana Emma kwamba Zama katapeli naona umefutwaNaskia Milly kawekwa rumande na zama. ☺☺
Watu wa naogopa😂😂 carrymastor lazima a stop nayy kumchamba. Ila Milly alimkomalia sanaKwa kosa lipi? Manake hata ule uzi wa jana wa kijana Emma kwamba Zama katapeli naona umefutwa
Hehehehheeh.....usijali dada angu.Niko dogo langu. Ila hapo kwenye £ mmmmh 😎
Karibu sana kigamboni....hivi nina Lea kichanga. Na miye nasubiria nianze she grupu la kuomba mchango wa 40 japo nje mle pilau na nivae gauni toka kwa mobeto
Uwiiiiiiiiiiii ndio maana kimyaaaNaskia Milly kawekwa rumande na zama. ☺☺
Yaan wala usijali miye chochote nitafanya provided nitapata 20m.Hehehehheeh.....usijali dada angu.
Ila utujue na unaotuadd.
Isije mwisho wa siku tukaja kushikana uchawi mwaya.
Heheheheh.....chezea chama la madada wa mjini wewe....Yaan wala usijali miye chochote nitafanya provided nitapata 20m.
Yaan Milly did the best.....unajua mnafk hiyo ndiyo dawa yakeWatu wa naogopa😂😂 carrymastor lazima a stop nayy kumchamba. Ila Milly alimkomalia sana
Haswaaaa tena hivi nina kundi la madogo....!!!Heheheheh.....chezea chama la madada wa mjini wewe....
Umeona eeeeeHaswaaaa tena hivi nina kundi la madogo....!!!
Yaan Milly did the best.....unajua mnafk hiyo ndiyo dawa yake
😁😁😁😁😁 ndo mupeleke nguo na chai. Si mlikua mnafurahia maubuyuUwiiiiiiiiiiii ndio maana kimyaaa
Na bado. Yaan atajutaaaa kupost magazetiNahis alikonda kwa siku mbili
Hahaaaaahaaaaaa apambane na hali yake kwakweli.😁😁😁😁😁 ndo mupeleke nguo na chai. Si mlikua mnafurahia maubuyu
NIMEMUELEWA SANAAiseee hivi ulimuelewa vzr mpwa uliye mquote?
Katumia sanaaa sana kuwasilisha hoja yake. Rudi kamsome upya
Milly anatumia Id gani instagramNIMEMUELEWA SANA
acha wasambaze, mm JF naiogopa ukiLIKE jina linajitokeza
acha picha la kihindi liendelee mm na Pop corn hapa Dada yangu
Hongera kwa kulea kichanga
Hivi Dai si yupo? Milly hawezi lala sakafuni na mtoto wa mwanamuziki
TzshaderoomMilly anatumia Id gani instagram
Huko Dubai haishi tena au kafukuzwa?Tzshaderoom