Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Kwa hiyo, kwa kifupi, hao wadada wanagombania nguo?

Ha ha ha haaaa

Ngabu jamani nimecheka

Wanagombania wapi alishona nguo yake.. ila ilitoka eeeeh.. ona picha humu na aliyovaaaa

Sasa Hamisa na akiaaidiwa na Mange alitoa hayo kusema Zama alimkimbia kutokushona kwake.. yaani alidai hamisa ndio alimpa mshono zama.

Leo zama karudi baada ya kutukanwa mwizi.. karusha sc ya kuonyesha kwamba yeye ndio alikuwa na mshono.

Alitaka kushoma kwa misa ila wakapishana mida kuweza kukutana.

So akaenda kwa fundi sala sala ndio hao wakamshonea..

Ndio hauo.. mengine naona Numbisa anarusha ndio nasoma..

Nimepitwa naona huko insta

Mie nacheka tu kaka sitaki kuzeeka.. kwa kuwasoma
 
Mange ana Id nyingi instagram moja ni Jyamaudaku
 
hahaha...eti am baack
 

Ila kwa walivyowasikiana Zama ndio alimwambia mshono upi.

Nae anapenda huruma.. duh
 
Sawa....swali nje ya Mada,
Wenye Ngoma wananyonyesha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…